MKOMBOZI WA WANAFUNZI APATIKANA – SIKUKUU YA NANENANE
Leo ni tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2018. Tarehe na mwezi kama huu kila mwaka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Watanzania wote kwa ujumla husherehekea sikukuu ya wakulima, maarufu kama NANENANE. Wakulima wote wakubwa na wadogo huitumia siku hii kuonesha kazi zao ikiwa ni namna moja ya kujifunza ...
Tag:
Digital Learning
,e learning
,ElimuNiMali
,SmartSchool
READ MORE